Form 1 to 4 Free Kiswahili lesson plans

By | May 31, 2021

Here are all the Kiswahili secondary school lesson plans for all topics. You can also download the editable and pdf lesson plans below.

FREE KISWAHILI LESSON PLANS (FORM 1-4)

                  MIPANGILIO YA VIPINDI/MASOMO      MUHULA WA KWANZA       KIDATO CHA PILI

JINA LA  MWALIMU:………………………………………………

NAMBARI LA TSC:………………………………………………………

SHULE :……………………………………………………………MWAKA:……………………………………………………………………

KIDATO CHA PILI                                                        SOMO LA KISWAHILI

MADA KUU: KUSOMA(UFAHAMU)                         MADA NDOGO :Ndugu majuu na wakazi wa kibabuu

WIKI:………2………………………………………………………NAMBARI LA SOMO:1

TAREHE :…………………………………………………………..WAKATI: DAKIKA 40

SHABAHA : Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze;

  • kusoma kwa matamshi
  • kutumia msamiati na misemo  kwa ufasaha
  •  kujibu maswali kwa usahihi.
HATUA NA MUDAYALIYOMOSHUGHILI ZA MWALIMU NA MWANAFUNZINYENZO
UTANGULIZI(DAK.5)MaamkiziKupitia somo lililopitaMwalimu na wanafunzi kuamkianaMaelezo mafupi,maswali na majibu kuhusu somo lililopitaWanafunzi wenyeweMatini ya mwalimu
MWENDELEZO(DAK.30)Mwalimu kuwaelekeza wanafunzi kusoma ufahamu, kutambua misamiati,misemo,methali na nahau na kuyapa  maana kamili kulingana na ufahamu kisha wanafunzi kuyatumia katika utunzi wa sentensi  ili kubainisha maana zao kikamilifuKusoma ufahamu kwa kina na mantikiMaswali na majibu baina ya mwalimu na wanafunzi kuhusu ufahamuMajadiliano baina ya mwalimu na wanafunziUtunzi wa sentensiChemi chemi za Kiswahili    2(uk 1-3)Kamusi ya misemo na nahau(k.w wamithila)Matini ya mwalimuWanafunzi wenyewe
HITIMISHO(DAK.5)Mwalimu kutoa maelezo mafupi kuhusu somoZoezi kwa wanafunzi kuhusu somoMaelezo mafupi, maswali na majibu kuhusu somoWanafunzi kufanya zoeziChemi chemi za Kiswahili    2(uk 1-3)Kamusi ya misemo na nahau(k.w wamithila)Matini ya mwalimuWanafunzi wenyewe

JINA LA MWALIMU:……………………………………………..

.NAMBARI LA TSC:………………………………………………………

SHULE :……………………………………………………………MWAKA:……………………………………………………………………

KIDATO CHA PILI                                                        SOMO LA KISWAHILI

MADA KUU: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA      MADA NDOGO : Isimu jamii;

Majadiliano baina ya mwanafunzi na mwalimu

WIKI:…………2…………………………………………………NAMBARI LA SOMO:2

TAREHE :………………………………………………………….WAKATI: DAKIKA 40

SHABAHA : Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze;

  • kuelezea sifa za mazungumzo shuleni
  •  kuweza kuigiza mazungumzo baina ya mwalimu na mwanafunzi
HATUA NA MUDAYALIYOMOSHUGHILI ZA MWALIMU NA MWANAFUNZINYENZO
UTANGULIZI(DAK.5)MaamkiziKupitia somo lililopitaMwalimu na wanafunzi kuamkianaMaelezo mafupi,maswali na majibu kuhusu somo lililopitaWanafunzi wenyeweMatini ya mwalimu
MWENDELEZO(DAK.30)Isimu jamii;Majadiliano baina ya mwalimu na mwanafunzi;Mwalimu kutoa maelezo ya maana ya isimu jamii na sifa za majadiliano baina ya mwalimu na mwanafunziMwalimu kuwaelekeza wanafunzi kusoma majadiliano baina ya mwalimu na mwanafunzi na wanafunzi kuweza kuigiza darasani.Majadiliano  baina ya mwalimu na wanafunzi kuhusu sajili ya darasaniMaelezo kutoka kwa mwalimuMajibu na maswali baina ya mwalimu na wanafunziKusoma mazungumzo baina mwalimu na mwanafunziUigizaji wa mazungumzo hayoChemi chemi za Kiswahili    2(uk 4-5)Matini ya mwalimuWanafunzi wenyewe
HITIMISHO(DAK.5)Mwalimu kutoa maelezo mafupi kuhusu somoZoezi kwa wanafunzi kuhusu somoMaelezo mafupi, maswali na majibu kuhusu somoWanafunzi kufanya zoeziChemi  chemi za Kiswahili   2(uk 4-5)Matini ya mwalimuWanafunzi wenyewe

JINA  LA MWALIMU:……………………………………………..

.NAMBARI LA TSC:………………………………………………………

SHULE :……………………………………………………………MWAKA:……………………………………………………………………

KIDATO CHA PILI                                                        SOMO LA KISWAHILI

MADA KUU: SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA  MADA NDOGO : Mofimu

WIKI:…………2……………………………………………………NAMBARI LA SOMO:3

TAREHE :…………………………………………………………..WAKATI: DAKIKA 40

SHABAHA : Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze;

  • kueleza maana ya mofimu na aina zake
  • kuweza kutambua  mofimu katika maneno
  • kutaja maana mbalimbali zinazowakilishwa na mofimu
HATUA NA MUDAYALIYOMOSHUGHILI ZA MWALIMU NA MWANAFUNZINYENZO
UTANGULIZI(DAK.5)MaamkiziKupitia somo lililopitaMwalimu na wanafunzi kuamkianaMaelezo mafupi,maswali na majibu kuhusu somo lililopitaWanafunzi wenyeweMatini ya mwalimu
MWENDELEZO(DAK.30)Mofimu;Mwalimu kutoa maelezo ya maana ya mofimu, aina za mofimu, kuonyesha mofimu katika maneno na kutaja maana mbalimbali zinazowakilishwa na mofimuWanafunzi kusikiliza kwa makini na kuandika maelezo ya mwalimuMajadiliano baina ya mwalimu na wanafunziMaelezo kuhusu somo kutoka kwa mwalimuMazungumzo baina ya mwalimu na wanafunziMaswali na majibu baina ya mwalimu na wanafunziWanafunzi kuandika maelezo ya mwalimuChemi chemi za Kiswahili    2(uk 6-8)Matini ya mwalimuWanafunzi wenyewe
HITIMISHO(DAK.5)Mwalimu kutoa maelezo mafupi kuhusu somoZoezi kwa wanafunzi kuhusu somoMaelezo mafupi, maswali na majibu kuhusu somoWanafunzi kufanya zoeziChemi chemi za Kiswahili    2(uk 6-8)Matini ya mwalimuWanafunzi wenyewe

Check on https://educationnewshub.co.ke/category/teachers-resources/ for more lesson plans.

QUICK LINKS

KCSE/KCPE ONLINE RESULTS PORTAL

KCSE/KCPE ONLINE RESULTS PORTAL

KCSE PORTAL

THE KNEC KCSE PORTAL

KNEC PORTAL LOGIN.

THE KNEC CBA PORTAL

KNEC SCHOOL EXAMS PORTAL

KNEC PORTAL FOR KCPE RESULTS

THE KCPE KNEC PORTAL FOR PRIMARY SCHOOLS.

KNEC EXAMINERS PORTAL

THE KNEC CONTRACTED PROFESSIONALS PORTAL

THE KNEC CBA PORTAL

KNEC EXAMINERS LOGIN PORTAL

KNEC PORTALS

THE KNEC LCBE PORTAL

THE OFFICIAL KNEC WEBSITE