Tag Archives: Download Free Mwongozo Wa Kigogo

Download Free Mwongozo Wa Kigogo

MWONGOZO WA KIGOGO                                        MTIRIRIKO;       ONYESHO LA KWANZA. TENDO LA KWANZA. Ni katika karakana ya soko la Chapakazi,Sudi, Boza na Kombe wanafanya kazi ya uchongaji.Sudi amefungulia radio huku wakiendelea na kazi yao.Ashua anawaletea chai ya mkandaa na mahamri na kuondoka. Habari inatolewa kwa wananchi wa Sagamoyo kuwa wana kipindi cha mwezi mzima kusheherekea uhuru wao, wawakubuke majagina wao… Read More »